Msaada Google adsense

mandingo 94

JF-Expert Member
Apr 9, 2018
270
190
Habari zenu Wana blog wezangu mm kijana mwenye ndoto ya mafanikio kupitia blog nilifungua blog mbili miaka miwili iliyo pita niliamua kufanya kazi hii ya blog niweze tengeneza pesa changamoto ninaziona nyingi ila nimweza endelea kwa asilimia 5/ maama mimi siyo mtalamu wa mambo haya nilikuwa nalitia Mada za humu nimeweza kujua vitu vitu kidogodogo kama ni miweza kufungua acc za fb 7 na nina ma group 1500 ya nje lengo kuwa na ma group 10000 msaada wenu naomba muwongozo wa kujiunga na adsense.
 
Njoo uliza hapa Ijue google adsense nje ndani,uliza swali hapa
 
Habari zenu Wana blog wezangu mm kijana mwenye ndoto ya mafanikio kupitia blog nilifungua blog mbili miaka miwili iliyo pita niliamua kufanya kazi hii ya blog niweze tengeneza pesa changamoto ninaziona nyingi ila nimweza endelea kwa asilimia 5/ maama mimi siyo mtalamu wa mambo haya nilikuwa nalitia Mada za humu nimeweza kujua vitu vitu kidogodogo kama ni miweza kufungua acc za fb 7 na nina ma group 1500 ya nje lengo kuwa na ma group 10000 msaada wenu naomba muwongozo wa kujiunga na adsense.
Google adsense inahitaji content za kiingereza tu km ni kwa kiswahili itakula kwako.
 
Account mim ninayo na content zangu cyo kiswahili ishu kubwa namna ya kuonganisha
 
Hivi naweza tengeneza blog 2 kwenye email 1

blog yangu ni benjosetz.blogspot.com (free blog je naweza itumia kwa kupiga pesa za adsense?
 
Back
Top Bottom