MSAADA GHARAMA ZA KUANZISHA STATIONARY.

bonnykessy

JF-Expert Member
Oct 1, 2012
204
230
Kama title inavyojionyesha hapo juu,naitaji msaada wako sana ewe mwanajf haswa wale wenye uzoefu wa stationary,nataka kuanzisha hii kitu ila budget yangu ni 5M, naombeni mnijuze au mnipe ushauri je kwa hiki kiasi ntafanikisha?..je gharama ya vitu kama photocopy mashine,printer 2, desktop 2,lamination mashine and others zikoje?.nataka pia niwe nadeal na passport size. Naombeni msaada wenu wadau,ahsanteni sana.
 
Back
Top Bottom