Msaada: Generator nzuri

Msaada: Generator nzuri

brian360

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
224
Reaction score
34
Nahitaji kununua Generator la 100-150AV HONDA nzuri, yeyote anayejua duka wanalouza genuine Generator.
 
uko mkoa gani?
nenda kwa wakala wa honda hata mwanza yupo utapata kila bidhaa za honda

ukijaribu kwenda madukani utaumia maana mchina hayupo mbali
 
uko mkoa gani?
nenda kwa wakala wa honda hata mwanza yupo utapata kila bidhaa za honda

ukijaribu kwenda madukani utaumia maana mchina hayupo mbali

Thnx very much nimepata contact kweli wao Ndo genuine supplier wa Honda
 
uko mkoa gani?
nenda kwa wakala wa honda hata mwanza yupo utapata kila bidhaa za honda

ukijaribu kwenda madukani utaumia maana mchina hayupo mbali

Mkuu , mwanza duka la Tropical (vifaa vya umeme) liko pande zpi kama unafahamu?
 
Hili pia linaauzwa limetumika kizungu jipya kabisa mil 15.
 
Attachments

  • 1424890261678.jpg
    1424890261678.jpg
    66.9 KB · Views: 76

Genuine dealer wa generator za Honda yupo ofice za zamani za Kamata, barabara ya Nyerere na Msimbazi.
 
Back
Top Bottom