Msaada game ya DREAM LEAGUE SOCCER

Msaada game ya DREAM LEAGUE SOCCER

Manjeta

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2014
Posts
393
Reaction score
239
Wakuu habari zenu, mimi natumia simu ya zamani kidogo Sumsung galaxy grand neo ambayo android version yake ni 4.2.2, zamani niliinstall app ya dream league soccer 2017 na nilikuwa nalicheza fresh tu ila baadae nikalifuta...cha ajabu asaivi kila nikitafuta link ya kudownload tena dream league 2017 naipata lakini nikidownload inaonesha ni dream league soccer 2018 ambalo linagoma kuinstall linahitaji android version kubwa zaidi ya simu yangu...Msaada nifanyeje ili niweze kuliinstall hili game?...NB: NALIPENDA SANA HILI GAME
 
no way.. badlisha cm coz hata ucngelfuta lngezngua mara tu ya kuliupdate..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom