uliishia kwenye kuroot tu kwa twrp au ulifanya vitu vingine? ikiwa hukufanya chochote kingine download files nilizokwambia (g920p twrp na super su) flash kwa odin hiyo twrp kisha kupitia hiyo twrp install supersu tatizo litakuwa limekwisha lakini kama kuna mambo mengine ulifanya itabidi uflashi simu yote itakubidi udownload full stock firmwaresasa baada ya Hapa nafanyeje maana screen ya simu hai sense teena kaka, na jana nilijaribu kuflassh kwa stock firmware ya simu ikawa inakataa ndugu
naomba nielekeze kuhusu hiyo ya stock firmwareuliishia kwenye kuroot tu kwa twrp au ulifanya vitu vingine? ikiwa hukufanya chochote kingine download files nilizokwambia (g920p twrp na super su) flash kwa odin hiyo twrp kisha kupitia hiyo twrp install supersu tatizo litakuwa limekwisha lakini kama kuna mambo mengine ulifanya itabidi uflashi simu yote itakubidi udownload full stock firmware
nini maana ya ROOTwakuu samahanini, nilikuwa naroot simu yangu Galaxy s6 sm-g920p, nilikuwa natumia odin na nilitumia kernel na twrp ya sm-g360f sasa baada ya simu ku reboot touch haifanyi kazi na simu haizimiki,,,,Nisaidieni Tafadhali