wakuu samahanini, nilikuwa naroot simu yangu Galaxy s6 sm-g920p, nilikuwa natumia odin na nilitumia kernel na twrp ya sm-g360f sasa baada ya simu ku reboot touch haifanyi kazi na simu haizimiki,,,,Nisaidieni Tafadhali
kwa nn ulitumia ya g360f tafuta g920p twrp na super su 2.78 itafanya kazi vizuriwakuu samahanini, nilikuwa naroot simu yangu Galaxy s6 sm-g920p, nilikuwa natumia odin na nilitumia kernel na twrp ya sm-g360f sasa baada ya simu ku reboot touch haifanyi kazi na simu haizimiki,,,,Nisaidieni Tafadhali
simu yako aina ganiaise pole mkuu
kunamtu alinishauli niroot sim yangu mwishoni akaniambia root at your own risk sikujaribu na wala sina mpango labda mpaka Nichoke sim yangu
ngoja wake washauri
Kuzi ww...hahahMi nimeroot raptop haiwaki
wa maanisha nn njia niliyompa ni safe kabisaNdio ushaur unapewa, ila jiandae psychologically broo.. Maana unachotaka kufanya n kumrudisha marehem dunian, sio mzukule ni marehemu
kama ni Unremovable?remove battery and put it on, iwashe.
kuizima hiyo simu ... bonyeza vol - , home buton na power key kwa sekunde kama 40 hivi itazima kisha iflash kwa g920p kila kitu kitakuwa sawa ondoa shakawakuu samahanini, nilikuwa naroot simu yangu Galaxy s6 sm-g920p, nilikuwa natumia odin na nilitumia kernel na twrp ya sm-g360f sasa baada ya simu ku reboot touch haifanyi kazi na simu haizimiki,,,,Nisaidieni Tafadhali
Kwanini ulikuwa unairoot labda tuanzie hapo kwanza, by the way that ain't a big problem. Hiyo inahitaji kuflash ili kuirudisha kwenye official status and what you need to do ni kuingia www.sammobile.com pale kwenye firmware download stock firmware ya hiyo phone model (inabidi kuregister/create user account ili kudownload official samsung stock firmware it's free) then uiflash kupitia odin. If you are done with downloading the specific stock firmware for your phone model just unzip it halafu put your phone in odin mode/downloading mode through (volume down+home button+power) haijalishi iko kwenye hali gani just follow the commands then kwenye odin upload hiyo unzipped stock firmware pale kwenye option ya AP then you're good to click and flash.wakuu samahanini, nilikuwa naroot simu yangu Galaxy s6 sm-g920p, nilikuwa natumia odin na nilitumia kernel na twrp ya sm-g360f sasa baada ya simu ku reboot touch haifanyi kazi na simu haizimiki,,,,Nisaidieni Tafadhali
fanya nilivyokuelekeza download g920p twrp na supersu kisha bonyza volume down home button na power kwa sekunde kadhaaa simu itazima usiachie buuton itakupeleka katika download mode flash simu yako kwa twrp kisha install super su umemalizaMkuu sasa simu inatulia tu na screen hai sense mkuu
Kiongozi haizimiki inaniambia unmodified system partition!fanya nilivyokuelekeza download g920p twrp na supersu kisha bonyza volume down home button na power kwa sekunde kadhaaa simu itazima usiachie buuton itakupeleka katika download mode flash simu yako kwa twrp kisha install super su umemaliza
Ahsantee Mkuu kwa ushauri shida ni sasa simu inaniandikia unmodified system Partion, nikizima haizimiki na kwenye hio download mode haiendiKwanini ulikuwa unairoot labda tuanzie hapo kwanza, by the way that ain't a big problem. Hiyo inahitaji kuflash ili kuirudisha kwenye official status and what you need to do ni kuingia www.sammobile.com pale kwenye firmware download stock firmware ya hiyo phone model (inabidi kuregister/create user account ili kudownload official samsung stock firmware it's free) then uiflash kupitia odin. If you are done with downloading the specific stock firmware for your phone model just unzip it halafu put your phone in odin mode/downloading mode through (volume down+home button+power) haijalishi iko kwenye hali gani just follow the commands then kwenye odin upload hiyo unzipped stock firmware pale kwenye option ya AP then you're good to click and flash.
kwa pamoja bonyeza button ya kupunguzia sauti home button na butoon ya kuwashia bila kuachia baada ya sekunde 30-40 simu itazimika usiachie hizo button itakupeleka katika download mode baada ya sekunde chacheKiongozi haizimiki inaniambia unmodified system partition!
Daaah kwelii Mwanangu imekubali kwendaa kwenyee download Modekwa pamoja bonyeza button ya kupunguzia sauti home button na butoon ya kuwashia bila kuachia baada ya sekunde 30-40 simu itazimika usiachie hizo button itakupeleka katika download mode baada ya sekunde chache