Kaka Kapo JF-Expert Member Joined Nov 23, 2012 Posts 547 Reaction score 347 Aug 10, 2024 #1 Wasalaam Jamani. Nina saa yangu Huawei Smart Watch GT2e imeingia maji inamissbehave naomba anayefahamu fundi wa aina hii ya saa anielekeze.. Asanteni Attachments 20240810_114124.mp4 31 MB
Wasalaam Jamani. Nina saa yangu Huawei Smart Watch GT2e imeingia maji inamissbehave naomba anayefahamu fundi wa aina hii ya saa anielekeze.. Asanteni
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 15,486 Reaction score 33,534 Aug 11, 2024 #2 Ngoja waje.
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 58,988 Reaction score 69,371 Aug 11, 2024 #3 Hiyo Nunua Nyingine Mkuu Inaweza Pigwa Spana Isiimalike Pesa Imeenda
Kang JF-Expert Member Joined Jun 24, 2008 Posts 5,692 Reaction score 2,576 Aug 11, 2024 #4 Hivi vitu havijaundwa kutengenezeka ikiharibika ni takataka kwa 90%, kama ni maji tu ichomeke kwenye mfuko wa mchele ikauke.
Hivi vitu havijaundwa kutengenezeka ikiharibika ni takataka kwa 90%, kama ni maji tu ichomeke kwenye mfuko wa mchele ikauke.
Bwana Tony Cipriano JF-Expert Member Joined Nov 17, 2022 Posts 3,590 Reaction score 7,494 Aug 11, 2024 #5 Jipange ununue mpya