Jimjuls
JF-Expert Member
- Jun 10, 2011
- 486
- 168
Flash yangu ya HP ya 4GB imebadilisha storage from 4GB to 700MB. Nilimuazima MTU na baadaye akaniletea na kukuta storage capacity ipo 700MB. Mwenye kujua namna ya kusolve hili tatizo anijuze. Sihitaji option ya Ku format kwani nilikuwa na docs za muhimu humo.