Hapo tumia thirdpart application kama x360 ce kumap hyo ucom ili iendane na pad ya xbox kumbuka computer zote ziko paired na xbox controllerUcom ya waya na nyingine ya wireless imeandikwa 6 in 1
Fuata ushauri wa juu ama tumia steam, configure pad yako na steam, tumia steam big picture add fifa halafu anza kuplay tokea kuleUcom ya waya na nyingine ya wireless imeandikwa 6 in 1