Insufficient space on the Android device Naomba msaada

Insufficient space on the Android device Naomba msaada

ligimilo

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2012
Posts
301
Reaction score
75
Wakuu, natumia android phone [TECNO PHANTOM SERIES], nimekuwa nikijaribu ku download some apps kutoka playstore lakini napata ujumbe kuwa "there is insufficient space on the device" wakati hapo mwanzo nilikuwa na download bila shida.

Wakuu nimejaribu kufuta vitu vingi nilivyo download awali lakini tatizo lipo palepale, naomba msaada nini cha kufanya.

Na je nawezaje kupata paid apps for free?
 
My hezbend C6 msaada tafadhali...
 
Last edited by a moderator:
labda chakukusaidia kamaunaweza move appskwenye sd card kisha set install location iwe external itakuwa ukidownload chochote kina ingia kwenye sd card kama unacomputer ndio rahisi zaidi ntakusaidia
 
hapo jibu unalo kabisa, huna nafasi ya kutosha, either uingize kwenye sd card au ufute hadi utakapopata spaec ya kutosha, uangalie na sehemu mfano kama caching kutoka kwenye apps mbalimbali, mfano whatsapp unaweza kuta ina data hadi 200+MB muda mwingine, browser cache etc usafishe... Afu kama u really need that much space nadhani ni muda umefika wa wewe kununua simu ya kiwango zaidi ya hapo ulipo sasa....

Kuhusu kupata paid apps for free hapo sitasaidia, kama developer sipendi kuona mtu anachakachua app ya developer mwingine, it takes years to learn programming, takes time n money to make a software afu uchakachue? hapo utakuta software yenyewe $1 kitu ambacho hata hakikutoi jasho.
 
mkuu hili tatizo ni very common katik hiz tecno mobiles na ni la kimiujiza sababu utaona free space ni 7gb na kuna ram ya kutosha lakini ukidownload kitu inasem insufficient storage,tena bora wew kidogo umepata bahati kuwa inakataaa kuinstall apps tu ila Wengine hata camera haipigi na ukidownload kitu chochote au kutuma kwa Bluetooth haviingii.Cha kukusaidia ni kukwambia tu kuwa humu jf lishapostiwa zaidi ya mara 20 pamoja na mimi lkn mpaka sasa halijapatiwa ufumbuzi,pia nishaenda mpaka kwa mawakala wa tecno(carlcare) pale msimbazi lkn hawakuweza pia.
Hemu jaribu kuirestore then huo upuuzi utaondoka lakini baada ya kuitumia sana kuna uwezekano mkubwa wa kujirudia tena(this is the only solution ) :behindsofa:
 
pia kupata paid apps for free ni very simple mkuu lakin dah I'm very sorry siwezi kumfundisha mtu kuiba
 
unaogopa dhambi eeeh,,,!!!
mkuu naogopa dhambi ya kuendelea maana nikimfundisha huyu atamfundisha na mwengine na huyo pia atamfundisha mwengine na mwengine................................ kwa hiyo mwisho wa siku mm ndio nitakua source ya watu zaidi ya 1000 wanaojua huu wizi, naogopa kushare dhambi kwa watu wote hawa!!!
 
mkuu naogopa dhambi ya kuendelea maana nikimfundisha huyu atamfundisha na mwengine na huyo pia atamfundisha mwengine na mwengine................................ kwa hiyo mwisho wa siku mm ndio nitakua source ya watu zaidi ya 1000 wanaojua huu wizi, naogopa kushare dhambi kwa watu wote hawa!!!

hujui kitu wacha longolongo ww.?
unaifaham dhambi ya wizi ww??
eti unaogopa kuchakachua. hahahaha vipi kuhusu........
 
Nenda kwenye Application Settings, Clear data kwenye Google Play Store and Google Play Services. Install tena...
 
Back
Top Bottom