MSAADA: Faili zuri la kuedit na kutengeneza video

Kwenye simu au pc ???

Kwenye pc sina utaalam,

Ila kwenye simu tumia inshot au cupcut

Cupcut ina filter, effects,vitu vingi sana vizuri ila sharti lake uwe umewasha data

Inshot ina filter pia na effects nzuri ingawa sio mingi kama kwa cupcut lakini unabidi uipie inshot pro kupata baadhi ya filters na mambo mengi mengi hii ata offline inapiga kazi

Hipi nzuri. Kwa upande wangu huwa napenda kutumia zote kupata matokeo mazuri zaidi ya kibunifu

So Video na editia cupcut lakini pia nanyia finish sometimes kwenye inshot

Nikikosa data kukaa kwenye internet yenye ubora

Natumia inshot tu ila zote zipo vizuri sana na rahisi kutumia inshot

Swali lolote???
 
Hii cupcut nishaichukuwa, nitaichukuwa na hii inshort nikiwa na lolote la kukuuliza nitakurudia mkuu, maana nahisi kesho ndiyo nitaanza kuzifanyia kazi.
 
Nimefanikiwa kulipia KANE MASTER kupitia Mixx by yas.

Asanteni wote mliotoa michango yenu hapa, nimejaribu kupitia baadhi ya mafaili mlionishauri hapa japo sidhani kama kuna ambalo nitalielewa kuizidi Kane master, pengine ni kwasababu lina vitu ninavyo vipenda kuyazidi mengine ama pengine ni kwasababu nimelizoea.

Shukrani kiongozi Chief-Mkwawa
 
Back
Top Bottom