Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,860
Pia kwa ambae anatumia faili la KANE MASTER anielekeze namna ya kuilipia, najaribu kulipia kupitia Airtel nakwama.
Nitangulize shukurani
Nitangulize shukurani
modyolo.com
Asante sana kiongozi nitalipia huko, maana hili faili nahisi ni kila kitu kwangu kwenye suala la kuedit video.Airtel walisitisha master card zao, Tigo na Voda zinafanya kazi.
![]()
KineMaster v7.6.26.34820.GP MOD APK (Pro 2023, Premium, Export Work)
With KineMaster Premium Mod APK, you can produce video, films of professional quality in a matter of minutes!modyolo.com
Nimekuwekea na link hapo incase umeshindwa kulipa download.Asante sana kiongozi nitalipia huko, maana hili faili nahisi ni kila kitu kwangu kwenye suala la kuedit video.
Sawa mkuu, lakini sijakuelewa kidogo, hili faili ninalo kwenye simu, kwahiyo nikidowanload hapo ndiyo kutakuwa na utofauti na hili ambalo ninalo?Nimekuwekea na link hapo incase umeshindwa kulipa download.
Ndiyo mkuu lengo ni biashara ila Ndiyo naanza, nafanya hizi clip.Video unafanya biashara?
Asante kiongozi sitapenda kuzidisha neno.tumia cap cut boya wee, iko vizuri kinyama yaani hata video ikiwa low quality Ina toka unyama.
Capcut ni nzuri.. Hata free version haina watermarktumia cap cut boya wee, iko vizuri kinyama yaani hata video ikiwa low quality Ina toka unyama.
Premium Unlocked/Pro Free Assets/No Watermark, 100% Export WorkAsante sana kiongozi nitalipia huko, maana hili faili nahisi ni kila kitu kwangu kwenye suala la kuedit video.
cap cut naitumia Sana, yaani ni unyama na nusu.Capcut ni nzuri.. Hata free version haina watermark
Chukua cap cut kijana, halafu mimi ni raisi wa Chama Cha ma jobless pro max.Asante kiongozi sitapenda kuzidisha neno.
Asante kiongozi nitaichukuwa na hii.Tumia you cut haiweki watermark
Unatengeneza adverts au tu short clips.. Kuna wondershare ya kwenye computer huwa najua kuitumia japo kitambo kiasi..cap cut naitumia Sana, yaani ni unyama na nusu.
Mimi raisi wa Chama Cha ma jobless pro max 😂 🤣Unatengeneza adverts au tu short clips.. Kuna wondershare ya kwenye computer huwa najua kuitumia japo kitambo kiasi..