Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 42,809
- 50,937
Unaweza mkuu tena ikiwa kwenye hali hiyo hiyo cha muhimu ni utulivu
Nasikia kuna software inatumika kurecover data kwenye hdd iliyoformatiwa hata zaidi ya 5 times, ni aina gani ya software ungenishauri kuitumia