Msaada wa ku Reboot hii flash

Kiwangwa Son

Senior Member
Nov 29, 2018
178
115
Wakuu habari,

Nina flash disk yangu hapa TOSHIBA 16GB juzi kati nilimuazimisha rafiki yangu akapigie window.

Kwa bahati mbaya ilivyorudi kila nikiiweka kwenye PC inanambia

TO USE THIS DISK NEED TO FORMAT FIRST.

nikichagua hiyo option ya OK yani inaload hadi mwisho baadae naambiwa window imeshindwa kuitambua flash.

Nimejaribu kutumia njia ya CMD na disk management ya kubadilisha herufi pia imegoma yani hairudi kwenye hali ya kawaida.

Naombeni kwa wenye ujuzi zaidi wanisaidie hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
File format kwenye disk management inasoma RAW?
Wakuu habari..

Nina flash disk yangu hapa TOSHIBA 16GB juzi kati nilimuazimisha rafiki yangu akapigie window.

Kwa bahati mbaya ilivyorudi kila nikiiweka kwenye PC inanambia

TO USE THIS DISK NEED TO FORMAT FIRST.

nikichagua hiyo option ya OK yani inaload hadi mwisho baadae naambiwa window imeshindwa kuitambua flash.

Nimejaribu kutumia njia ya CMD na disk management ya kubadilisha herufi pia imegoma yani hairudi kwenye hali ya kawaida.

Naombeni kwa wenye ujuzi zaidi wanisaidie hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii inagoma mkuu. Command prompt

Sent using Jamii Forums mobile app
Okay tumia power iso
Untitled.png
 
Download hii software chipgenius ChipGenius v4.19.0319. Kisha ingia hapa usbdev.ru ujifunze namna ya kureformat hiyo flash yako. Chipgenius inakupa vendor name ya flash yako na taarifa nyingine ambazo zitakusaidia kupata flash tool sahihi. Baadhi ya vendor names ni Alcol, Phison, Chipsbank n.k.

Kila la kheri.
 
Usbdev.ru ipo kwa lugha ya Kirusi. Hivyo browse kwa google chrome ili upate option ya kutraslate to English.
 
Hilo ni janga, nimeshaua flash mbili kwa namna hiyo. Yaani inatakiwa uwe mstaarabu wakati wa kuitumia kwa kuweka windows au other OSs like linux. Unapoichomoa hakikisha computer yako imezimwa la sivyo utakuwa una.........kila siku.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nijaribu mkuu.. Nikifanikisha nitarudi
Download hii software chipgenius ChipGenius v4.19.0319. Kisha ingia hapa usbdev.ru ujifunze namna ya kureformat hiyo flash yako. Chipgenius inakupa vendor name ya flash yako na taarifa nyingine ambazo zitakusaidia kupata flash tool sahihi. Baadhi ya vendor names ni Alcol, Phison, Chipsbank n.k.

Kila la kheri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Download hii software chipgenius ChipGenius v4.19.0319. Kisha ingia hapa usbdev.ru ujifunze namna ya kureformat hiyo flash yako. Chipgenius inakupa vendor name ya flash yako na taarifa nyingine ambazo zitakusaidia kupata flash tool sahihi. Baadhi ya vendor names ni Alcol, Phison, Chipsbank n.k.

Kila la kheri.
Mkuu sio commercial software hii, maana nina tatizo kama hili
 
Back
Top Bottom