Msaada: Excel repair software | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Excel repair software

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mgombezi, Mar 17, 2010.

 1. Mgombezi

  Mgombezi JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 630
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Naomba msaada wana jamii.

  Ms Excel file zangu zenye rekodi za biashara kwa miaka 3 iliyopita zime "corrupt" na haziwezi kufunguka. Nimeelezwa nikipata software ya kurepair au recovery basi zitaweza kufunguka. Naomba mwenye software hiyo aweze kunisaidia, leo ni siku ya tatu siweze kufanya kazi kwa kutokuwa na rekodi hizi.

  Natanguliza shukrani
   
 2. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #2
  Mar 17, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Umefanya Viruss scan? una updated antiviruss software?
  hizo rekodi ni file moja?
  kama ni file moja lina size gani?
  Na inakataa kufunguka kwa kutoa error massage gan
  Unatumia Ms office version gani?

  Try to provide any helpful information as possible ili upate ushauri wa mapema na wa haraka.

  NB
  kabla hujapata suluisho iwe funzo kuwa na backup copy ya document yako yoyote mihimu wich u can not tolerate to loose ?
   
 3. Mgombezi

  Mgombezi JF-Expert Member

  #3
  Mar 17, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 630
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hizo rekodi ni file moja with number of worksheets, file size 64 kb error masage "Excel found unreadable content. Do you want to recover..." ninapoclick YES, massage nyingine "Excel cannot open the file because the file format or extension is not valid". Ninatumia MS office 2007.

  Asante kwa ushauri wako wa kuwa na BACKUP, yalikuwa hayajanikuta sasa nitafanya hivyo kila siku.
   
 4. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #4
  Mar 17, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Muhimu
  Hujasema kama una lumefanya virusa scn na una lates virus scan.
  Je unaweza kufungua document nyingine yeyote ya excel au ni tatizo kwa zote?

  sasa cha kufanya ni kujua problem through isolation

  1.kwanza cheki kama kuna latest Automatic update zinazohusina na Ms office?

  2.Then Jaribu kufungua hiyo doc kutumia mashine nyingine. Save kwenye flash disk then kafungue kwenye mashine nyingine yenye Ms wo 2007 au hata 2003.

  Unaweza jaribu kuifungulia internte cafe .

  3. Nenda C:\Program Files\Microsoft Office\Office12 na
  C:\Program Files\Common Files\Microsoft Shared\OFFICE12

  angalia date modified ya hizoo file ni lini ?

  Whay i gues kama sio problem ya virus corruption ni problem iliyosabababishwa na some latest Microsoft updates update
   
 5. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #5
  Mar 18, 2010
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,435
  Likes Received: 2,310
  Trophy Points: 280
  Vipi .... umeshatatua issue yako? Kama bado ... nikikutumia software unaweza kuitumia? Au kuna uwezekano wa kutuma files zakoo (kama sio confidential) nikakufungulia?
   
 6. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0

  Mtaaalam mwaga ma ujuzi tuelimike wengi. ni sofware gani hiyo . I mean inaitwaje ?
   
Loading...