Msaada: Email, safari na bluetooth katika iphone 4 hazifanyi kazi

Msaada: Email, safari na bluetooth katika iphone 4 hazifanyi kazi

Straight

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2010
Posts
346
Reaction score
45
Wana JF.

Naombeni msaada wenu.. nina Iphone 4 lakini nina shindwa kufanya setting za email.. pia Safari inagoma kufungua internet.. ukiifungua tu inajifunga vivyo vivyo na Email.

Tatizo jingine ni kwenye bluetooth.. labda sielewi hivi iphone haifanyi blueth connection kwa simu yoyote ile zaidi ya iphone.. hata kwa iphone yenyewe inasumbua..

Nawasilisha, Asanteni.
 
Back
Top Bottom