khamsinda
Senior Member
- Jul 26, 2016
- 108
- 71
Wakuu salamu ziwafikie popote mlipo.
Kijana wenu nina shida sana ya topic ya kiuchumi ambayo data zake zipo tayari ili niifanyie dissertation..
Nataka yenye data kabisa na mahali nitakapo pata hizo data kwa maana sisi hatuna mda wa kuzunguka kukusanya data. Ni tunafanya dissertation huku tukiendelea na masomo mengine kama kawaida...
Msaada wenu tafadhali
Nashukuru.