Msaada"dstv:haiscan

Mndengereko

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
7,280
3,345
habari za asubuhi wanajf naombeni msaadaa wenu ktk hili nimewasha dstv nyumbani sasa kitu cha ajabu haiscan ipo tu kama vile imestack
kwa maana kwamba vile invyoandika number of public bouquest,number of public operators number of tv channels,radio services zote zinasoma zero(0) please mwenye uelewa juu ya hili naomba anifahamishe nini cah kufanya nimeirestart ila bado bilabila
 
nmeshaconnect upya ndugu nimehakikisha kila kitu still no response
 
kama ulikuwa mteja wa zamani nenda ukabadilishe kadi,kwangu ilikuwa inafanyanya hivo hivo.
 
Pole sana ukipata jibu na mimi nitalitumia maana nina shida hiyohiyo.
 
Back
Top Bottom