Msaada: Download ya biblia ya kiswahili

Msaada: Download ya biblia ya kiswahili

Asanteni sana wakuu, nilikuwa na shida sana na bibila ya kiswahili kwa ajiri ya quick reference.

Thannks!
 
Ingia jw.org. utapata biblia yenye kiswahili rahisi. Au cheki app ya jw library.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom