Msaada Digital Camera

Eddy M

Member
Apr 6, 2012
61
11
wakuu, napenda kununua digital camera ila sijui zipi ni bora zaidi kutokana na kuwepo aina nyingi sokoni.Tafadhari naomba msaada wa kimawazo

(Ni kwa ajili ya matumizi ya nyumbani)
 
Budget yako ni sh ngapi kwani uzuri umeambatana na bei ila kwa haraka Sony,canon,Panasonic ninzuri je untaka ya pix ngapi??
 
wakuu, napenda kununua digital camera ila sijui zipi ni bora zaidi kutokana na kuwepo aina nyingi sokoni.Tafadhari naomba msaada wa kimawazo

Canon na Sony ni wazuri. ila ungesema ni kwa matumizi gani - studio, home use, camera man nk ungeweza kupewa mawazo mazuri na uzoefu vizuri zaidi.
 
nunua canon EOS4OD,kama ni kwa ajili ya studio,hii imetulia unaweza ukaiserch kupitia google kuona specification zake
 
Nunua kamera za kijapani particularly Sony kuanzia megapixel 10 si mbaya. kamera inayoanzia laki mbili na kuendelea. angalia specificatios zake yenye nyingi ndo bora na ukubwa si hoja sana. nunua ndogo tu ambayo unaweza kupiga kabla ya mtu kukustukia. cheki betri pia ile ya kuchaji ni bora na nafuu kuliko kununua kila mara betri za mitaani
 
Canon na Sony ni wazuri. ila ungesema ni kwa matumizi gani - studio, home use, camera man nk ungeweza kupewa mawazo mazuri na uzoefu vizuri zaidi.

Ni kwa ajili ya matumiz ya nyumbani
 
Nunua kamera za kijapani particularly Sony kuanzia megapixel 10 si mbaya. kamera inayoanzia laki mbili na kuendelea. angalia specificatios zake yenye nyingi ndo bora na ukubwa si hoja sana. nunua ndogo tu ambayo unaweza kupiga kabla ya mtu kukustukia. cheki betri pia ile ya kuchaji ni bora na nafuu kuliko kununua kila mara betri za mitaani

shukrani
 
kununua camera pixel na zooming ni vitu muhim japo na features kama image stabilizer na uwezo wa flash mimi huwa navizingatia kwa camera ya nyumban kwa nilivyofuatilia nimeona cannon wanajitahid sana na kwa ixus series ni portable sana nilijarib kufananisha nikon na cannon nliona nikon si nzur sana kama mwanga ni hafifu na nimejarib kuchunguza pic ilopigwa kwa 16pix kutumia nikon na 12pix kutumia cannon ktk mwanga mzur hapo utagundua na hata kwa bei cannon wapo juu kwa brand nyingine sina coment sana sabb sijazifanyia utafit :
 
narudia kukusisitizaa kama wataka camera poa nunua samsung PL120, ina 14 mega pixel, double display inayo kuwezesha kujipiga mwenyewe picha, ina feature ya kufanyia editing picha bila adobe photoshop, na ni camera latest. Kenya inauzwa 16,000KSHS sijui tanzania inauzwa kwa shilingi ngapi
 
Thanks
 
Me nahitaji kwa ajili ya ku2mia kibiashara,naombeni ushauri aina gani nzuri?naomba mnipe na specification nzuri
 
Back
Top Bottom