jogoo_dume
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 2,196
- 1,940
Natanguliza salam. Nina digital camera ya Sony. Tatizo lililopo ni kwamba kila nikiiwasha inaganda. Yaani nikibonyeza tu kitufe cha kuwashia inaleta kwenye kioo Window ya kutaka nirekebishe tarehe, mwakani nk, ila bairekebishiki. Yaani hayo maandishi yanaganda tuu kwenye kioo. Na siku za hivi karibuni hayo maandishi yanakaa sekunde kama tatu, kisha inazima kabisa, kwa anayejua tatizo na tiba tafadhari. Asanteni.