Msaada: Dawa ya sisimizi ndani

Msaada: Dawa ya sisimizi ndani

Tumia utra vin powder mkuu,ni nzuri sana,kuna kipindi nilitaka kuhama nyumba sababu ya sisimizi lakini nilipoijua dawa hii walinikoma hao sisimizi.

Uzuri wa dawa hii huwavuta sisimizi na kuwaangamiza nadhani ina harufu amabayo kwa sisismizi ni nzuri
Inauzwa shilingi ngapi mkuu na inapatikana kwenye maduka yapi?
 
Oy sisimizi wamenivamia na mm nataka niwateketeze kikatili sana ikishindikana nachoma nyumba kwanza ni nyumba ya kupanga sina hasara ila ngoja nikatafute akheri powder kwanza
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom