Msaada: Dawa ya sisimizi ndani

Msaada: Dawa ya sisimizi ndani

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,607
Reaction score
4,768
Sisimiz wamekua kero jamani

Nadeki kila siku na usafi geto kwangu lakini wanakuja tu

Wanatokea kwenye nyufa za sakafu nimeweka hadi zulia juu lakini wapi

Yaani sasa ni hadi kero nambieni nitumie dawa gani nisiwaone kabisa humu ndani

Update:Nimenunua akheri powder nikanyunyuzia ndani ya sekunde tu wamepotea na kuisha wote asanteni sana wanajamiiforum

Mungu ibariki jf
 
Kila mtu kapanga kwa mawazo yako si ndio?
Hivi wewe kwenu wapi. Kwani ukishajenga huwezi kuhamia nyumba nyingine yenye ubora zaidi aidha uliyojenga ama ya kupanga au hata ya kampuni/$erekali???
Endelea kukaa hapo hapo na fikra hizo hizo
 
Sisimiz wamekua kero jamani

Nadeki kila siku na usafi geto kwangu lakini wanakuja tu

Wanatokea kwenye nyufa za sakafu nimeweka hadi zulia juu lakini wapi

Yaani sasa ni hadi kero nambieni nitumie dawa gani nisiwaone kabisa humu ndani
ziba hizo nyufa kwenye sakafu
 
Kaombe oil chafu kwa mafundi pikpik unyunyuzie sehemu wanakotoka na ukutani hutawaona tena.
 
Sisimiz wamekua kero jamani

Nadeki kila siku na usafi geto kwangu lakini wanakuja tu

Wanatokea kwenye nyufa za sakafu nimeweka hadi zulia juu lakini wapi

Yaani sasa ni hadi kero nambieni nitumie dawa gani nisiwaone kabisa humu ndani
Tumia hii ni kiboko ya sisimizi
 
Attachments

  • Dudu.jpg
    Dudu.jpg
    145.4 KB · Views: 231
Tumia utra vin powder mkuu,ni nzuri sana,kuna kipindi nilitaka kuhama nyumba sababu ya sisimizi lakini nilipoijua dawa hii walinikoma hao sisimizi.

Uzuri wa dawa hii huwavuta sisimizi na kuwaangamiza nadhani ina harufu amabayo kwa sisismizi ni nzuri
 
Sisimiz wamekua kero jamani

Nadeki kila siku na usafi geto kwangu lakini wanakuja tu

Wanatokea kwenye nyufa za sakafu nimeweka hadi zulia juu lakini wapi

Yaani sasa ni hadi kero nambieni nitumie dawa gani nisiwaone kabisa humu ndani
Una uhakika wapo huku ndani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom