Msaada: Dawa ya sisimizi ndani

Msaada: Dawa ya sisimizi ndani

Mkuu ni bei gan maana hawa wanatoka kwenye nyufa za sakafu
Tumia utra vin powder mkuu,ni nzuri sana,kuna kipindi nilitaka kuhama nyumba sababu ya sisimizi lakini nilipoijua dawa hii walinikoma hao sisimizi.

Uzuri wa dawa hii huwavuta sisimizi na kuwaangamiza nadhani ina harufu amabayo kwa sisismizi ni nzuri
 
Sisimiz wamekua kero jamani

Nadeki kila siku na usafi geto kwangu lakini wanakuja tu

Wanatokea kwenye nyufa za sakafu nimeweka hadi zulia juu lakini wapi

Yaani sasa ni hadi kero nambieni nitumie dawa gani nisiwaone kabisa humu ndani
weka mchwa watawala hao sisimizi.
 
Tumia utra vin powder mkuu,ni nzuri sana,kuna kipindi nilitaka kuhama nyumba sababu ya sisimizi lakini nilipoijua dawa hii walinikoma hao sisimizi.

Uzuri wa dawa hii huwavuta sisimizi na kuwaangamiza nadhani ina harufu amabayo kwa sisismizi ni nzuri
Inappatikana maduka gani?
 
Ubarikiwe sanaaaaaaaaaaa

Update:Nimenunua akheri powder nikanyunyuzia ndani ya sekunde tu wamepotea na kuisha wote asanteni sana wanajamiiforum

Mungu ibariki jf
baby powder hasa johnson

akheri powder

thank me later
 
Yaani sahv ndani raha maana nilirudi nikakuta washajaa hadi kitandani wanang'ata kama siafu but sahv nimewakomesha
 
Ubarikiwe sanaaaaaaaaaaa

Update:Nimenunua akheri powder nikanyunyuzia ndani ya sekunde tu wamepotea na kuisha wote asanteni sana wanajamiiforum

Mungu ibariki jf
hongera kwa hio dawa harufu yake mdudu hasogei hapo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom