SAIZI YANGU
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 381
- 83
Nipo Dar maeneo ya Mbezi, nimelima nyanya aina ya Money Maker kama nusu heka huku. Ninamwagilia kwa maji ya kisima nilichochimba. Tatizo nilipatalo ni kupukutika kwa maua kila zinavyoanza kutoa maua. Nimejaribu kupanda aina ya Roma nazo ni hivyo hivyo, naombeni kujua nitumie dawa gani.