profesawaaganojipya
JF-Expert Member
- Apr 21, 2015
- 1,596
- 3,433
Wakuu kioo cha mbele kina kama ukungu hivi, naomba msaada nijue dawa ya kusafishia..
Majivuwakuu kioo cha mbele kina kama ukungu hivi,naomba msaada nijue dawa ya kusafishia..
Siriasi? Majivu unafanyaje mkuu..Majivu
Acidwakuu kioo cha mbele kina kama ukungu hivi,naomba msaada nijue dawa ya kusafishia..
Acha roho mbaya kaka...Acid
Ilikuwa ni utani tu, nilichoka ile sikuacha roho mbaya kaka...