Pole, Kwa mm naona hapa tiba ya ushauri ataiotoa mzabzab tu au smart man ExtrovertNahitaji msaada wenu ndugu zangu,
Ni jinsi gani naweza fanya kuachana kabisa na kitu kinaitwa mapenzi? Yaani kamwe nisifikirie mahusiano kabisaaa? Maisha yangu yaliyobaki niwaze tu pesa niifurahishe nafsi yangu.
Sasa mrembo kama wewe unateswa na mapenzi kweli wakati vidume tupo. Wee itakuwa ulimpa big boy ukamuacha mr midabwadaπ€£π€£π€£π€£Nahitaji msaada wenu ndugu zangu,
Ni jinsi gani naweza fanya kuachana kabisa na kitu kinaitwa mapenzi? Yaani kamwe nisifikirie mahusiano kabisaaa? Maisha yangu yaliyobaki niwaze tu pesa niifurahishe nafsi yangu.
Kama kuna njia zozote za kisaikolojia naombeni mchango wenu, yaani nisipende tena, hata nisipendwe tena. Hata kama ni kwa dawa za kienyeji au waganga niko tayari
Kuliko kuumiza moyo wangu, mara leo furaha kesho uzuni, kesho kutwa mateso, bora niyafurahie maisha kwa pesa tu, vinywaji tu na viwanja, kuliko unaliamini jitu, unalipa moyo wako, unamnyima mwingine ukiamini kuwa hana malengo nawe, anakulilia, mwisho wa siku unawakosa wote na vidonda juu
Kwa wale ambao mmefanikisha kuishi wenyewe na amani ya moyo msaada wenu tafadhari
Hata si mrembo, sema huna option [emoji16]Sasa mrembo kama wewe unateswa na mapenzi kweli wakati vidume tupo. Wee itakuwa ulimpa big boy ukamuacha mr midabwada[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eeh kumbe mnagegeduana humu jf alafu hamsemiHata si mrembo, sema huna option [emoji16]
Kazi rahisi sana hiyoo, njoo kwangu tuwe washkaji tu hakuna ziada wala mapenzi ni mwendo wa vinywaji nyama na viwanja kila jioni baada ya kazi πππNahitaji msaada wenu ndugu zangu,
Ni jinsi gani naweza fanya kuachana kabisa na kitu kinaitwa mapenzi? Yaani kamwe nisifikirie mahusiano kabisaaa? Maisha yangu yaliyobaki niwaze tu pesa niifurahishe nafsi yangu.
Kama kuna njia zozote za kisaikolojia naombeni mchango wenu, yaani nisipende tena, hata nisipendwe tena. Hata kama ni kwa dawa za kienyeji au waganga niko tayari
Kuliko kuumiza moyo wangu, mara leo furaha kesho uzuni, kesho kutwa mateso, bora niyafurahie maisha kwa pesa tu, vinywaji tu na viwanja, kuliko unaliamini jitu, unalipa moyo wako, unamnyima mwingine ukiamini kuwa hana malengo nawe, anakulilia, mwisho wa siku unawakosa wote na vidonda juu
Kwa wale ambao mmefanikisha kuishi wenyewe na amani ya moyo msaada wenu tafadhari
Ila kuacha mapenzi haitawezekana; labda akikate na akitupe mbali kabisaPoleee, liaaaaaaaa hasira ziishe, muda utaongea maumivu yataisha.kama mimi maumivu yaliisha wewe ni nani yasiishe?π
Muda ni dawa, pole sana
Nakumbuka kipindi nolivo kua na depression kama hiyo niliamua kuachana namapezi angalau kwa miaka mitatu, nikapata pschological counselor, kutoka office fulani ila ndani ya miezi mitatu tulianza mahusiano nae, tena yalikua ya moto hata kuliko ya awali, so napenzi ni sehemu ya maisha ya mtu.Nahitaji msaada wenu ndugu zangu,