babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,644
- 3,314
kama heading inavojieleza wakuu ningependa kujua cv ya muongozaji wa kipindi cha wanawake live na mpigania haki za wanawake joyce kiria
Ya nn cv yake itakusaidia nnkama heading inavojieleza wakuu ningependa kujua cv ya muongozaji wa kipindi cha wanawake live na mpigania haki za wanawake joyce kiria
Huyu ni public figure lazima tuone tunaongozwa na watu gani, hili tu ni la msingi sana. Kama ni Prof. Majimarefu tujue hivyo hata namna ya kum-handle ina tahadhali yake.Ya nn cv yake itakusaidia nn
Kama ungekuwa mfuatiliaji mzuri wa vipindi vyake ungeshaifaham coz sio mchoyo wa kutoa cv yakeHuyu ni public figure lazima tuone tunaongozwa na watu gani, hili tu ni la msingi sana. Kama ni Prof. Majimarefu tujue hivyo hata namna ya kum-handle ina tahadhali yake.
Niliyemjibu amenielewa so usipende kudandia tren kwa mbelekama hujui unakausha tu sio kuropoka maana unaonekana hamnazo
ahsante mkuu wamekupataHuyu ni public figure lazima tuone tunaongozwa na watu gani, hili tu ni la msingi sana. Kama ni Prof. Majimarefu tujue hivyo hata namna ya kum-handle ina tahadhali yake.
Wewe utafungwa, wamemgonga ndiyo nini? Naogopa. She is a fighterAmeishia la saba akawa house girl mpaka wanawake live alisoma evening classes za English Course by the Way Mchaga ni mchaga anajua kutafuta Hela ila ma Boss wamemgonga sana hasa wale Wadhamin kwa show yake
WawezaproveAmeishia la saba akawa house girl mpaka wanawake live alisoma evening classes za English Course by the Way Mchaga ni mchaga anajua kutafuta Hela ila ma Boss wamemgonga sana hasa wale Wadhamin kwa show yake
Kwa hiyo wewe unaongozwa Na Joyce Kiria.?Huyu ni public figure lazima tuone tunaongozwa na watu gani, hili tu ni la msingi sana. Kama ni Prof. Majimarefu tujue hivyo hata namna ya kum-handle ina tahadhali yake.
kwani public figure wote ni viongozi??Kwa hiyo wewe unaongozwa Na Joyce Kiria.?
ndo umeongea nini hapoJoyce hongera kwa kuujambisha ukuta. Keep on fighting for your family.
Hahaha hongera kwa kumakeni zaidi ya kipato,,we kaa chit chat ukadhani hakuna wanaomake humu
Yes, katika wanawake live ananiongoza!Kwa hiyo wewe unaongozwa Na Joyce Kiria.?