Msaada CV ya Joyce Kiria

Msaada CV ya Joyce Kiria

kumbe ukiwa public figure ni kubwabwaja lolote likija kichwani
 
Huyu ni public figure lazima tuone tunaongozwa na watu gani, hili tu ni la msingi sana. Kama ni Prof. Majimarefu tujue hivyo hata namna ya kum-handle ina tahadhali yake.
Unatakiwa ujue kutofautisha kati ya elimu ya uraia na elimu ya darasanidarasani.
 
Nisaidie basi nitofautishe. Nadhani elimu ya uraia tunasoma pia darasani, I fail to comprehend your sentence anyway!
Elimu ya uraia ama civic education haiihitaji ukae darasan kujifunza kama biology,geography,chemistry etc, hii mtu hujifunza kutokana na jitihada zake binafsi katika kukabiliana na changamoto za maisha na za kijamii kwa ujumla na hujiffunza mengi kupitia humo kama atakuwa mwepesi kujifunza ,na walimu wa kuu wa elimu ya uraia ni raia wenyewe ambao hawana taaluma ya ualimu wakisaidiana na mazingira
 
Tafuteni ujuzi wa kuanzisha viwanda vidogo vya kutengeneza kandambili,toothpics,sabuni,viatu nk. Acheni kutafuta kujua watu au kwenu hiyo inawapa ajira!!?? Biashara mbovu
 
Elimu ya uraia ama civic education haiihitaji ukae darasan kujifunza kama biology,geography,chemistry etc, hii mtu hujifunza kutokana na jitihada zake binafsi katika kukabiliana na changamoto za maisha na za kijamii kwa ujumla na hujiffunza mengi kupitia humo kama atakuwa mwepesi kujifunza ,na walimu wa kuu wa elimu ya uraia ni raia wenyewe ambao hawana taaluma ya ualimu wakisaidiana na mazingira
Asante elimu haina mwisho! Anyway Civic education definition is very broad, uko sahihi, I guess!
 
Kaanzishe thread yako tutakuletea hiyo ya Mbowe hapa tunahitaji ya Joyce Kiria
Nawe nenda kwenye EATV utapata CV ya Joyce Kiria. Au muulizeni Mme wake. Kama anaruhusu mke wake adhalilishwe na makamanda wenzake, atashindwa kuwapa CV yake?
 
Umeitwa? Nyie ndio Mh Makonda anawatafuta manake c kwa kujipendekeza huko

This is a social network....hebu ficha ujinga/ushamba wako ww. Umesomea hotel management nn ?? Tehe

Unajua nyie ma beki 3 mkishanunuliwa smart phone mna taabu sana.
 
Nawe nenda kwenye EATV utapata CV ya Joyce Kiria. Au muulizeni Mme wake. Kama anaruhusu mke wake adhalilishwe na makamanda wenzake, atashindwa kuwapa CV yake?
Sasa kiherehere cha nini? kama huna jibu ungenyamaza kimya watu wengine akili zenu zimejaa matope
 
Ni mwanamke anayeipenda familia yake ....hataki mume wake apate kilema cha kujitakia....BIG UP Kiria achana na makamanda hao wote ni wachumia tumbo####ukutashikeniwenyewe
 
Back
Top Bottom