Msaada course ya Radiation Therapy

Msaada course ya Radiation Therapy

cc12

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
1,018
Reaction score
397
Wakuu Habari Zenu kuna kamsamiati kidogo sikaelewi kwenye hii kitu mim ni Adavance mweiz wa kumi nategemea kujiunga na chuo sasa kuna course moja nimetokea kuipenda ni ya Radiotion Therapy iliyopo Muhimbili pale ila kwenye TCU moja ya REQ zilizopo ni hivi

Three principal passes at “D” grade

or higher at A-level in Chemistry,
Biology and Physics/ Mathematics.
Preference will be given to
applicants with “C” Grade or above
in Chemistry or Biology in that
order. Candidate with “E” in
Physics at A-level provided they
have “C” grade or above in
Chemistry and or Biology

Kwa akili ya haraka wanaochukuliwa ni CBG na PCB mim nimesoma PCM wakuu nataka kuisoma ntafanya ushauri kwa hilo wakuuu
 
Sasa Ushajua Wanataka Pcb/cbg, Nini Tena Wataka, Fanya Engineering Kama Vipi
 
PCB tyu kwa sababu knowledge ya physics utumika kwenye Radiation na X rays
cbg hana chake hapo wao n nursing tyu na pharmacy.
 
CBG NA PCM huwezi somaaa pcm utasomaje anatomy and physiology akati huna biology na cbg utasomaje imaging physics wakati huna physics afu muhimbili hawachukui zaidi ya wanafunzi kumi pale kwenye hiyo course
 
Wakuuu vip nikianza na Diploma mana nimekuea nikiita sana hii corse.....siko lake la Ajira likoje sio lazima hata serikali hata hospitali binafsi

CC danya Chachasteven @
geniusbaraka
 
Last edited by a moderator:

Soko la ajira ni kubwa sanaaa kuliko ndo course unique hapa nchini ocean road pale bado hawatoshi so kama ukianza na diploma pouwa tu matokeo yawe yanaruhusu....unapiga diploma ya diagnostic radiography iko pouwa utakapo acha kushika pesa za x rayz hutakumbuka kama kuna degree
 
hahahaha mkuu hi maisha tunasoma ili tutoke tu ukishapata njia ya pesa ni jinsi tu ya kucheki na kujiwekeza mengine haya bidae kwanza shukrani sana mana nilikuwa kwenye giza kabisa
 
CBG NA PCM huwezi somaaa pcm utasomaje anatomy and physiology akati huna biology na cbg utasomaje imaging physics wakati huna physics afu muhimbili hawachukui zaidi ya wanafunzi kumi pale kwenye hiyo course

hivi hii course ya DDR wanapangiwa post na serikali au mpaka utafute mwenyewe kazi
 
Wanapangiwa na serikali ila tatizo ni kwamba serikali haitoi mshahara wa kutosha hvyo wengi wana amua kukimbia na kutafuta vijiwe
 
owky,shemeji yako anasoma hio so nilikua hata cjui michongo yake ikoje,kama kazi zipo private kumbe haina haja ya kusubiria post za wizara ya afya.
 
Mwambie ahudhurie sana idarani ili awe vizuri den una mtafutia kijiwe ana pokea kilo zake tano hadi saba kwa mwezi huku ana soma maisha yanenda vijiwe vingi sana so aende sana department akajifunze hongera aisee
 
owkyy boy hamna shida..yaah nilimuambia practical muhimu sana,nitafanya hivyo mkuu..shukran
 
Wakuuu vip nikianza na Diploma mana nimekuea nikiita sana hii corse.....siko lake la Ajira likoje sio lazima hata serikali hata hospitali binafsi

CC danya Chachasteven @
geniusbaraka
soko lake ni gumu sana maana ni ocean road tu. sijui walioanzisha hii kozi walikuwa na akili gani?
 
hujui unaloongea wewe,x ray,ultra sound,MRI,CT scan wanafanya ocean road tu?au umekurupuka..?kule ocean road wanatibu kwa kutumia mionzi na sana watu wa radiation therapy ndio wanafanya hizo kazi,ma radiographer ndio wanaofanya kazi za x rays,ultra sound na kazi nyengine related hospital zote tanzania..
 
kwanza jua RTT hawajishughulishi na x-ray, ultra sound, ct scan wala MRI wao ni radiotion therapists hawako kwenye diagnosis. wanaotumia hizo mashine wamesoma diploma inaitwa DDR ambayo degree yake Tanzania hamna. hukuelewa swali la mtooa mada.
 
noted,but waginjwa wa kansa tanzania wanaongezeka so najua hata hao RTT watakua dili tu,maana kansa imekua ni tatizo sahv
 
Kati ya physiotherapy na radiology in diploma, ipi ina soko kwa sasa tanzania?
Physiotherapy inadeal kwenye hospital kubwa sana sana kuanzia mkoa na za rufaa, Radiology zinacheza kwenye hospital zote mara nyingine mpaka dispensary, so wigo mpana upo kwenye Radiology hususani kwenye ajira
 
Back
Top Bottom