EMANUEL JOHN JOHN
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 503
- 468
Sijakuelewa kiongozi?kwanza jua RTT hawajishughulishi na x-ray, ultra sound, ct scan wala MRI wao ni radiotion therapists hawako kwenye diagnosis. wanaotumia hizo mashine wamesoma diploma inaitwa DDR ambayo degree yake Tanzania hamna. hukuelewa swali la mtooa mada.
Sent using Jamii Forums mobile app