paul m kibinza
Member
- Jun 19, 2017
- 30
- 18
Control number ni ipi hiyo jamani wanayoitaka ukiwa ukiwa unafanya malipo ya awali ya passport (Hati ya Kusafiria) kupitia MPESA. Unaipata wapi?
Wanazngua hao wanatak vitu ving kama unaomba mkopoControl number ni ipi hiyo jamani wanayoitaka ukiwa ukiwa unafanya malipo ya awali ya passport (Hati ya Kusafiria) kupitia MPESA. Unaipata wapi?