Msaada: Contact form

Fadhili Paulo

JF-Expert Member
Sep 1, 2011
3,211
988
Heshima zenu wanajamvii,
Nahitaji msaada kwa mwanajamvii yeyote anayeweza kunichapia code kwa ajili ya contact form yenye muonekano huu: wasiliana nasi | maajabuyamaji.net , hapo ilivyo ni kuwa nimeitengeneza kwa kutumia jotform kwa hiyo hapo nimei-embed tu kama script kumbe code wanazo jotform, nataka form hiyo hivyo lakini code zangu mwanzo mwisho, sijuwi kama nimeeleweka hapo. Mwenye kuweza nitashukuru.
 
Umeeleweka ila badala ya kufanya php coding kutengeneza form unaweza tafuta ready made script uka install kwenye server yako and will do the same thing

Most of the scripts are free.
 
Umeeleweka ila badala ya kufanya php coding kutengeneza form unaweza tafuta ready made script uka install kwenye server yako and will do the same thing

Most of the scripts are free.
Unaweza kunipa link mkuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom