wandugu
kwa kiswahili neno sahihi la conspiracy theory ni lipi?tukisema nadharia njama ina make sense kweli?
Ni "nadharia ya njama."wandugu
kwa kiswahili neno sahihi la conspiracy theory ni lipi?tukisema nadharia njama ina make sense kweli?
Njama ya kinadhariaNi "nadharia ya njama."
Hii concept hata hivyo ina nia ovu ya ku-waterdown na kuficha ukweli unaofichuliwa kuhusu njama ovu za NWO dhidi ya binadamu na ustawi wao.NWO ndio waanzilishi wa concept hiyo,sasa Wadanganyika bila kujua nia ovu iliyopo nyuma ya concept,wameidakia,ni uzuzu first class
Ukiona mtu una-put forward wazo halafu anakuambia hiyo ni "conspiracy theory" zipo sababu tatu au nne:-
1.Aidha ni mjinga(ignorant), kwa maana kwamba hicho kitu hakijui,kwa hiyo ana ficha ujinga wake nyuma ya pazia la "conspiracy theory."
2.Au ni mind controlled,kwa hiyo ameshikiwa akili,sio independent thinker.
3.Au ni mtumwa wa kikundi anachokikingia kifua kwa mgongo wa eti "hiyo ni 'conspiracy theory.'"
4.Au yapo maslahi anayopata kutoka kwenye hicho kikundi anachokikingia kifua kwa mgongo wa "hiyo ni conspiracy theory."'