Habari wadau naomba mwenye namba ya mtu wa Vingunguti nipate nyama kwa bei ya machinjioni kwa ajili ya biashara
Nataka kukwepa kupigwa mkuuAmka mapema kwenye saa tisa au saa kumi uwe umefika
Kama wewe si mtaalamu wa maswala hayo ya machinjioni unaweza ukasoma mazingira ukamtafuta rafiki ukazoeana naye kwa muda mfupi, ili akupe mbinu ili usiibiwe maana unaweza ukauziwa nyama kg100 ukapewa kg80 hata huyo rafiki utakaye mpata naye uwe naye makini
Usisahau kusali au kuswali ili mambo yaende kama unavyotarajia
Maana machinjion inahitaji umakini sana ili wasikuibie
Mkuu huko wanachinja wanyama gani na gani?Niliwahi majuZI kati nikauziwa mbuzi upande 30 so nahisi kama nimepigwa
Kitimoto je?Hivi mkuu kitimoto huwa zinachinjiwa wapi?Wanyama kama ng"ombe na mbuzi
Hapo kwenye kuuliza watu tofauti nimepaelewa.Hawatumii mizani?
Nenda uhudhurie kozi siku nne mfululizo ukiangalia wenzako wanavyofanya na wanavyopimwa utajifunzs kitu.
Jitahidi kufika sasa tisa kamili alfajiri kisha anza kozi yako. Kuwa mdadisi sana waulize wauzaji na pia wanaonunua.
Jenga nao urafiki , Swali moja uliza kwa watu tofauti kisha linganisha majibu utapata majibu
Kitimoto haichinjwi inapigwa marangu kama kibaka mpaka ifeKitimoto je?Hivi mkuu kitimoto huwa zinachinjiwa wapi?
Nenda kibanda Cha mkaa pale mbezi Kuna bucha wanachinja Bei sh 7000 kwa kiloKitimoto je?Hivi mkuu kitimoto huwa zinachinjiwa wapi?
Kitimoto je?Hivi mkuu kitimoto huwa zinachinjiwa wapi?
Machinjio nyingine ipo Mombasa Gongolamboto MaziziniKwani ni lazima Vingunguti?
Machinjio yaliyokuwa maeneo flani hapo Kimara Suka hayapo tena?