Msaada; Computer haifungui application yeyote.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada; Computer haifungui application yeyote....

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by tindikalikali, Aug 13, 2012.

 1. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  wakuu sielewi ni kimetokea, applications zote hazifunguki
  computer ni Toshiba Satelite C660 na ina window 7 premium...

  Naomba msaada wenu katika hili..
   
 2. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #2
  Aug 13, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,817
  Likes Received: 7,153
  Trophy Points: 280
  Mnh are u sure ni application hazifunguki au ni shortcut ndio hazifunguki

  Hebu nenda start >computer >local disk c> program files
  folder lolote open jaribu kuclick icon ya hio program .

  Then angalia kwenye desktop icon zimekua zinafanana au kila icon ipo kama mwanzo
   
 3. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  mkuu siyo shortcut, huwa nazifungulia kwenye start bar....


  Nimeenda kwenye folder kama ulivyonielekeza, bado imegoma
   
Loading...