Sina utaaaaama sana ngraphics ila nimekuw ana interest nayo miezi ya karibu hivyo nimefanya fanya resch na observation mbali mbali na naendelea kujifunza.Wana Jf,
Ni computer ya aina gani na yenye specification zipi inafaa kwa graphics design?
Kwa mtazamo wangu Sio lazima iwe Mac unaweza kupata kwa bei ya MAC windows PC nzuri amabayo inaweza kuhandle graphics kubwa kubwa bila shida.
nahitaji kujua zaid kuhusu hili, apart from Mac ambayo walalahoi hatuiwez ipi nyingine inauwezo mzuri?
Graphic design bila video editing? Software gani kubwa zaidi utakayotumia?
sorry mkuu kwa kuchelewa kujibu, nahitaji for both graphic n video, natumia adobe master collection
Jitahidi utafute laptop/desktop yenye processor ya intel na technology ya quicksync. Hii ni list yake
*.4th Generation Intel Core Processors with Intel Iris Pro Graphics 5200
*.4th Generation Intel Core Processors with Intel Iris Graphics 5100
*.4th Generation Intel Core Processors with Intel HD Graphics 5000/4600/4400/4200
*.3rd Generation Intel Core Processors with Intel HD Graphics 4000/2500
*.IntelPentiumProcessor 3558U/3561Y/G3220/G3220T/G3320TE/G3420/G3420T/G3430 with Intel HD Graphics
*.IntelCeleronProcessor 2957U/2961Y/2981U/G1820/G1820T/G1820TE/G1830 with Intel HD Graphics
Ila processor za 4th generation ndio zina power zaidi hasa zile zinazoishiwa na m kama hizi
i3 4xxxm
i5 4xxxm
i7 4xxxm
Hizo alama xxx inaweza kuwa namba yoyote.
Kama una budget kubwa itabidi utafute mashine yenye dedicated gpu za nvidia quadro hizi ndio zenyewe kwenye graphics design