Msaada: Code za Samsung S7 zinakataa

Msaada: Code za Samsung S7 zinakataa

OHB11

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2017
Posts
602
Reaction score
1,464
Wakuu niko na simu aina ya samsung s7 simu ni yenyewe,lakini code zote zile za samsung na imei zinagoma nilijaribu kugoogle wakaniambia niclear cache partition lakini nimefanyw hvyo bdo hali ni ile so nilikua naomba msaada kwa mwenye njia tofauti ya kurekebisha hili tatizo wakuu simu inafunction vizuri fingerprint yani kila kitu kipo sawa tatizo ni hilo tu
 
1. code zinatokana na software, ulizoziweka jana zinaweza kataa leo uki update software.

2. code hazitumiki kuangalia u original wa simu sababu wachina nao pia wanaziweka kirahisi tu.

kama unataka kumthibitishia kama ni original download cpu z toka store umlinganishie hardware zake na za gsmarena.
 
",,ok mkuu thanks ila wengi ndiyo tumeshazoea hivyo lazima tucheki code ndiyo tatizo linapokuwepo
 
Pigs *#0808#, *#1234#, *#7535# zirasoma na ikiwa hazisomi duh.

Ikiwa ni original(genius) utajua fanya hivi.

Pakua kwa search PHONE INFO SAMSUNG kupitia play store yako app ya mwanzo install to your phone. Halaf open it ukishaifungua itakuonesha sehem ilipotengezwa kama ni China au Korea ama Vietnam press kulia kwenda kushoto kuna maelezo yanayohusu simu yako yote mfano umechaji kwa muda gani. Halafu pia upande wa juu kushotoni kuna vistar vitatu vibonysze hivo kuna neno limeandikwa refurbishment....
Libonyeze hilo subiri kama second chache hapo itakuambia CONGRATULATIONS your phne is original na ikiwa sio niyakuchakachuliwa itakuambia pia.

Sikueleza yote maana ni mengi kueleza wewe ndio utajisomea huko.
 
Pia itakuambia model wa simu yako,rangi ya simu,storage, ram. N.k(nimeshindwa kufikiri).
 
Nimecheck mkuu wameniambia ni original mkuu thanks
 
Pia itakuambia model wa simu yako,rangi ya simu,storage, ram. N.k(nimeshindwa kufikiri).
Hapo kwenye rangi sijaona mkuu ila model wamenionesha
 
Rangi ya simu inakuepo ikiwa ni black au white iangalie tu na origin country ilipotoka pia itakuambia mfano ikiwa imeandikwa Taiwan kwenye kibandiko cha simu basi kwenye hiyo app itakuambia sahihi.
 
Back
Top Bottom