mavangah
Senior Member
- Sep 9, 2015
- 113
- 23
Habari ya muda huu wakuu, kama ilivyo apo juu kichwa cha habari kinajieleza. naomba msaada wakufahamu chuo kizuri cha kujifunza udereva hapa mwanza kikiwa na ada mzuri pia, then nifahamu mara baada ya kuhitimu ntaweza kupata vitu gan vya ziada yaan kama vile leseni au toolbox.hivyo natanguliza shukran za dhat natumaini majibu mazuri kutoka kwenu wakuu wa javi.Ahsanteen.