uko very poor mkuu jitahidiUmeona mkuu yan kama hvyo yaan nko dsm
jitahidi tu utafanikiwa, mimi ninasoma kila siku na bado nakomaa tu..kizungu kigumu ila kiswahili ni kigumu zaidiInawezekana kwel nko hvyo mkuu japo sina uhakika
British council ila sio chuo
British wako vinzur sana ila ADA Kwa english koz tu sh 56000 kama vp wachek kwa namb hz 0686888000:
Nsaidie bas mkuu kama kuna unachokifaham nko DSM
Me muislam usiambie hvyo iman yangu hairuhusu kubarikiwa
Worry out my friend we are here for help any he/she I want solution of something good
Dah!!! Wabongo bhanaMe muislam usiambie hvyo iman yangu hairuhusu kubarikiwa
Wanamatatizo xnaWana nini hao wabongo
nako hujasema upo wapi.Habar wana jf naomba msaada juu ya chuo chochote kilicho bora ambacho kina weza kufundisha mwanafunz english course ambacho kina muda wa asubuhi /usiku muda wa kuanza na ada yake bei gan na unalipa je