Nimeuliza.Acha masiara milion tatu duu never seen naomba kama una websit yao nitumie niingie au kama una namb zao za pia sio mbaya nkajaribu kuwasiliana nao
Peleka upuuzi wako fb mtu anashida why usimsaidie unatoa kitu cha kipuuuzi.kuna shida gani ukibaki hivyohivyo unajua kiswahili na kimakonde?
Pongezi nilitaka kumjibu hivyo safi sanaPeleka upuuzi wako fb mtu anashida why usimsaidie unatoa kitu cha kipuuuzi.
Alafu ndo kwanza kajiuunga jamiiforum lakini anatoa majibu machafu kwenye vitu vya kusaidiana.Pongezi nilitaka kumjibu hivyo safi sana
Nmekuelewa mkuu lakn english najua ya kuandka bt ya kuongea ndio inasumbua lafuzi zile ndio maana najaribu kufanya hvyo maana mazingira ninayoelekea yananipasa niwe mzungumzaji ambae atakuwa anazingatia matamshi halis ya maneno ya kingerezaVyanzo vya kujifunza ni vingi mno hio mpaka umeweza kupost thread means ww ni mtumiaji wa internet sasa ebu kuwa rafki na google na YouTube kwa muda fulani notes zote utapata sambamba na miongozo hio lugha ni wide sana acha kupeleka hela zako sehemu zikatafunwe jifunze mwenyewe ukianza kuweza tafuta chating site za nje ila isiwe nigeria wala America English yao sio formal sana japo ina swaga sana
Nenda ukajarbu usipende kuadisiwaTapeli huyu eti UsipoJua Kiinglish kwa miezi mitatu anakurudishia hela yako na hutojua kiinglish tena mpaka ubadilishe kichwa. Tangazo lake tu limekaa kitapeli tapeli
Mie tayari nakijua labda aanzishe kozi nyingine ya kufanya tunaojua tunakuwa hatujui tena ndan ya miezi 3Nenda ukajarbu usipende kuadisiwa
Fanya mzoezi ya kuongea kiingereza mkuu utajua haraka sana kuhusu matamshi tafuta audio dictionary itakusaidia sana. Hata ufundishwe na mzungu bila ya kufanya mazoezi huezi kielewa Mkuu. ukiangalia wanaokizunguka ni wamakonde na waongeaji wa kiswahili so ni ngumu sana kukiongea.Nmekuelewa mkuu lakn english najua ya kuandka bt ya kuongea ndio inasumbua lafuzi zile ndio maana najaribu kufanya hvyo maana mazingira ninayoelekea yananipasa niwe mzungumzaji ambae atakuwa anazingatia matamshi halis ya maneno ya kingereza
sasa nenda ukapge pale jamaa yuko serious na kaz yakeMie tayari nakijua labda aanzishe kozi nyingine ya kufanya tunaojua tunakuwa hatujui tena ndan ya miezi 3
Laki 5 cjajua kwa mwezi au mwakaAda yake si ni milioni tatu kwa miezi mitatu?
Hivi ulisha kwenda kwake?Tapeli huyu eti UsipoJua Kiinglish kwa miezi mitatu anakurudishia hela yako na hutojua kiinglish tena mpaka ubadilishe kichwa. Tangazo lake tu limekaa kitapeli tapeli
Unatafua college ya english coz inamaana hujui kizungu sasa unataka uwasiliane nao ukipokelewa na mzungu je itakuwa vip na ww kingenge chengaAcha masiara milion tatu duu never seen naomba kama una websit yao nitumie niingie au kama una namb zao za pia sio mbaya nkajaribu kuwasiliana nao
Mkuu kumbe hata kiswahili kwako ni tatizoAcha masiara milion tatu duu never seen naomba kama una websit yao nitumie niingie au kama una namb zao za pia sio mbaya nkajaribu kuwasiliana nao
duh aisee, kweli unahitaji kujifunza hata mm nimeona. Uko wapi kwanza ndipo nikupe jibu sahh?Nahtaj college au sehemu yeyote ambayo ni special kwakutoa coz hyo hata kama wanafundisha na mambo mengne kama copter, hotel menenger na vingnevyo
Watanzania tumekuwa watu wakujidharau wenyewe kwa wenyewe ndio maana tunasoma lakn hatuwez kufanya kaz nje ya nchi za wenyetu ukiangalia idadi ya wagen kutoka nje kujakufanya kaz tanzania ni wengi kuliko sisi kufanya kaz kwenye nchi zao wewe mtu kaulza swali jibu swal kama huna jibu la swali bas hukulazmishwa kujibu sio tena unauliza swal... Mbona unakuwa kama ##### acha hzo wwMkuu kumbe hata kiswahili kwako ni tatizo