kuna shida gani ukibaki hivyohivyo unajua kiswahili na kimakonde?
Tapeli huyu eti UsipoJua Kiinglish kwa miezi mitatu anakurudishia hela yako na hutojua kiinglish tena mpaka ubadilishe kichwa. Tangazo lake tu limekaa kitapeli tapeliMtafute Ras simba
sio mchezo huyu mshikaj
Ada yake si ni milioni tatu kwa miezi mitatu?British council ila sio chuo
Usisahau kutafuta na tuition ya kiswahili.Habar wana jf naomba msaada juu ya chuo chochote kilicho bora ambacho kina weza kufundisha mwanafunz english course ambacho kina muda wa asubuhi /usiku muda wa kuanza na ada yake bei gan na unalipa je