donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Salaam wakuu,
Kuna jamaa wangu menitumia iPhone kutoka US but ni zile ambazo hazitumii kabisa line ya simu (nafkiri kwao huko wameadvance sijui wanatumia utaalam upi). Is there any way nikaiconfigure ku f(x) kama simu? Maana kwa sasa naitumia kama ipod tu kwaajili ya kusikilizia mziki.
[url=http://www.ehow.com/how_7226293_unlock-iphone-sim-card.html]How to Unlock an iPhone Without a SIM Card | eHow[/url]
cdma bongo hakunaga.
Zikifika Tz izo sio iphone tena, zinaitwa ipod touch, inapiga kaz hadi wi-fi.
- Mkuu hebua anza na hii link itakupa mwanga wa nini cha kufanya.
Code:[url=http://www.ehow.com/how_7226293_unlock-iphone-sim-card.html]How to Unlock an iPhone Without a SIM Card | eHow[/url]
Salaam wakuu,
Kuna jamaa wangu menitumia iPhone kutoka US but ni zile ambazo hazitumii kabisa line ya simu (nafkiri kwao huko wameadvance sijui wanatumia utaalam upi). Is there any way nikaiconfigure ku f(x) kama simu? Maana kwa sasa naitumia kama ipod tu kwaajili ya kusikilizia mziki.
Yaani haya majanga hivi alikuwa anakuzawadia
shida? Duh kweli ukiwa nazo shida unazikana
badala ya kukutumia kitu chenye msaada
Sasa kakupa balaa !
simu yako ni CDMA hapa Tanzania inaweza fanya kazi na zantel, sasatel na TTCL.wanakuprogramia number wenyewe na itafanya kazi.ni kazi ya dakika 10 tu kwa anayejua jinsi ya kuprogram