msaada camera yangu haifanyi kazi

msaada camera yangu haifanyi kazi

THUON

Senior Member
Joined
Sep 29, 2013
Posts
112
Reaction score
58
Heshima kwenu wakuu....
kila nikijaribu kupiga picha naambiwa"unfortunately your gallery has stopped" nimeclear cache kwenye both camera and gallery applications mpaka nikaflash simu lakini bado haikufunction,naomba Masada zaidi, natumia Gallaxy note 3.
 
Me pia natatizo hilo.

Kila nikitaka fungua camera inaniletea ujumbe huu...

"Process com.android.camera )has stopped unexpectedly.
 
Back
Top Bottom