Msaada: Camera ya simu yangu inastuck

Jagood

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2016
Posts
2,142
Reaction score
2,397
Wakuu ninashida na camera ya simu yang imeleta shida ya ghafla nikiingia na kutaka kupiga picha ina stack na kuleta message "media server failed. Camera needs restart" nimejaribu Clear caches naku clear data lakin tatizo bado simu ni Samsung galaxy S3 neo_ i9300i
 
Umejarb kurestart device yako
 
Nimejaribu kuinstal "camera for android" kutoka playstore lakin back camera ikakubali ila front camera ikawa ina stack.

Sent from my GT-I9300I using JamiiForums mobile app
hio camera for android inakubali selfie?

jaribu app ambayo ni exclusive ya selfie tu uone,

kama bado itakataa hapo tatizo ni firmaware (uflash simu) au ni hardware itakuwa camera imechomoka au imeharibika
 
Hapa ndio baada ya ku intall camera for android app front ipo poa ila selfie ikaleta msg hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…