MSAADA: C P U yangu inashindwa kufungua CD ROOM

RAMAJ

Member
Joined
Sep 24, 2018
Posts
88
Reaction score
89
Naomba kupatiwa msaada kwa tatizo hili maana C P U ni ya mtumba aina ya HP nimenunua nimeona hyo shida na ina siku 3 tangu nimeinunua..nimejishauri kuirudisha lakini nikaona si vyema kwanza kabla sijaifikisha kwa wajuzi ambao wana utaalamu na mambo ya computer
 
Tafuta sindano au pini huwa kuna katobo (kashimo) kadogo sana ktk mlango wa cd room ingiza itajifyatua
 
Naomba kupatiwa msaada kwa tatizo hili maana C P U ni ya mtumba aina ya HP nimenunua nimeona hyo shida na ina siku 3 tangu nimeinunua..nimejishauri kuirudisha lakini nikaona si vyema kwanza kabla sijaifikisha kwa wajuzi ambao wana utaalamu na mambo ya computer
Umeona katobo kenyewe

Kwa mfano huo Lg kapo hapo

IMG_20181006_114628_205.jpeg

Hali ikiendelea ukanunue room nyingine
 
Back
Top Bottom