Msaada; bundle za dakika na sms kimataifa, hasa East Africa

Kiziwanda chema

JF-Expert Member
Sep 2, 2016
291
477
Habarini

Lengo ni kuweza kufahamishwa Kam Kuna vifurush vya dakika na sms za kutuma kwenda nje ya nchi hasa East Africa kwa mitandao ya voda, tigo, zantel na airtel.
Na mitandao mingine pia nijulisheni
 
Back
Top Bottom