Msaada: Bundle ya chini kabisa ya vodacom na jinsi ya kujiunga. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada: Bundle ya chini kabisa ya vodacom na jinsi ya kujiunga.

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Radio Producer, Sep 27, 2011.

 1. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Hallo wadau,
  naomba msaada nataka kujiunga na bundle ndogo kabisa ya internet ya vodacom , inaanzia na shillingi ngapi? nimeona airtel wao wako safi sana Tshs 2,500/= tu unapata MB400 mwezi mzima. naomba msaada kwa anayefahamu vodacom wao wamekaaje?
   
 2. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
 3. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Toa maelezo ya kutosha basi mkuu!
   
 4. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #4
  Sep 27, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,947
  Likes Received: 1,507
  Trophy Points: 280
  du maelezo gani tena si ugonge hapo kwa jamaa palipoaandikwa Vodacom Cheka Internet
   
 5. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 838
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  bundle ya chini kabisa kwa voda ni mb 20 ambayo ni shs 500 na unalipia kwa siku. Ila wana ya Mb 50 ambayo ni shs 2000 na ni siku 30.
  Bonyeza *149*01# utapata maelezo ya kutosha.
   
 6. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #6
  Sep 28, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Fuata maelezo kwa makını walıyokuambıa
   
 7. Mlamoto

  Mlamoto JF-Expert Member

  #7
  Sep 28, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Jibu la kweli (Honest Answer) Ndugu yangu ni kuwa achana na Vodacom. Utakuja laumu Bure!. Have a nice browsing time! Won't you?
   
 8. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #8
  Sep 28, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  mkuu inategemea na matumizi ya watu...mi siipendi sana voda ila internet yao natumia vizuri tu...bomba 30 nikiweka tunatumia office nzima (zaidi ya watu 10) kwa pamoja(nimei feed into router) na nadowload games and muvies mpaka karibu 100GB kwa mwezi (juzi tu nimemeliza ku download fifa 11<6.3GB> baada ya kumaliza kudownload muvi kama tatu hivi za 2GB kila moja ingawa natumia torrents na zinatumiamda mrefu kidogo ila napata ninachokitaka na pamja na kuwa nadowload bado watu wengine wanapata net safi tu kwa shughuli zingine za kila siku bila tatizo lolote na speed ni saaafi tu tofauti na mitandao mengine ambayo unapewa kiasi flan cha bandwith na kikiisha you are doomed!!
   
 9. Loyal_Merchant

  Loyal_Merchant JF-Expert Member

  #9
  Sep 28, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 589
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  nilisoma post humu humu kwamba hyo bomba 7 na 30 now ni limited download.? Inamaana sasa wameresume unlimited download data size kwa package hzo..?
   
 10. babukijana

  babukijana JF-Expert Member

  #10
  Sep 28, 2011
  Joined: Jul 21, 2009
  Messages: 4,817
  Likes Received: 1,164
  Trophy Points: 280
  dah natumia sasatel wananlamba kinoma,zaidi ya mara mbili nimenunua 5000 kwa 200 mbt wamesema unatumia week badala yake inaisha 1 hr.nikiwaambia wananchekea tu
   
 11. Shedafa

  Shedafa JF-Expert Member

  #11
  Sep 28, 2011
  Joined: May 21, 2008
  Messages: 802
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, voda ina afadhali. Kama una hofu na mambo ya bundle jaribu, bomba. Bomba 30 kwa mfano unapewa 2GB, ukimaliza unarudi kwenye 64kbps mpaka siku zako 30 ziishe. Hata hao TTCL wanaonekana nafuu wanatoa 2GB kwa mwezi bila nyongeza. Mwacheni ajaribu na kuona mwenyewe.
   
 12. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #12
  Sep 29, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,122
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Hakuna limit ila speed inashuka ukivuka liasi fulani.
   
 13. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #13
  Sep 29, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  kama anavyosema mdau hapa chini
  wameweka limit ya top speed kwa kias flani tu (i think 2GB) ila baada ya hapo unaendelea kula net kama kawaida na speed sio kama inashuka saaana ...(sio kama nawapigia debe voda) ila kwa matumizi ya kawaida ipo bomba saana tu!!
   
 14. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #14
  Sep 29, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  na mara nyingi tu speed inazdi hata hiyo ya 64kbps...
   
 15. moto ya mbongo

  moto ya mbongo JF-Expert Member

  #15
  Sep 29, 2011
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 336
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 45
  Nimejaribu internet za makampuni mengi ZANTEL spidi ni nzuri ila wana limit ya bundles na masharti ya utumie muda flani wa maongezi kwenye simu kwanza kwa wale wanaotumia Highlife.TIGO ovyoo spidi na mtandao vimeoza kabisa siku hizi hakuna mtandao,AIRTEL sio poa na SASATEL spidi ni nzuri sana.

  VODA kwa bundle ndogo ndogo kama cheka internet ni wizi mtupu ila HIZI BOMBA services zao ni nzuri sana ni unlimited downloads.Kujiunga BOMBA YA WIKI tuma neno BOMBA 7 kwenda 15300 kwa elfu 10 tu utapewa 750 mb kwa spidi ya ajabu kisha itapungua kidogo kwwa siku zako 7 ila ni bomba kama neno lenyewe lilivyo.Vile vile kuna Bomba 30....
   
 16. SUPERUSER

  SUPERUSER JF-Expert Member

  #16
  Sep 29, 2011
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  to make things clear..ukiandika BOMBASPIDIunapewa bundle kama 1.5 gb hivi but at high speed up to 300kb/s...ila uiandika BOMBA7 unapewa 700mb at high speed then wanakuswitch at low speed(64kb/s) but unlimited downloads adi wiki iishe..voda wako cheap jaman,sema haka ka speed wanakabana so inabidi utumie torrents
   
 17. C

  Chief-Architect Member

  #17
  Sep 30, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mnafanyia VODA Marketing, au ni damage controll?. Voda ni hakuna kitu! You will live to tell.
   
 18. Biohazard

  Biohazard JF-Expert Member

  #18
  Sep 30, 2011
  Joined: Aug 21, 2011
  Messages: 2,002
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  mkuu 128kbps haiwezi download hadi 100 gb kwa mwezi na ukiishare kwa watu kumi ndo kabisaaaa yani mmoja akidownload basi wengine hamtaweza hata fungua page. 128*8=1 ambayo ni sawa na 1mbps received data haiwezi ndugu.
   
 19. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #19
  Sep 30, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  but AM DOING IT NOW...natamani ningekuhakikishia hili...
   
 20. P

  Paul S.S Verified User

  #20
  Sep 30, 2011
  Joined: Aug 27, 2009
  Messages: 5,933
  Likes Received: 276
  Trophy Points: 180
  Wakuu hivi hizi bundle za cheka si ni kwa mobile phone pekee?
  Au nawao hawa bani kama Airtel bundle ya simu unaweza tumia kwa modem pia


  Pia naomba kujua, je kunautofauti wa speed kati ya Bomba7 na SPIDI7
   
Loading...