Msaada: Bomoa bomoa Ilala kupisha reli

Ni kweli usemavo ila nasikia zoezi la kubomoa dar limekwisha na hakuna ubomoaji tena katika maeneo karibu ya reli,ndio nikataka wadau wenye kujua wanihakikishie ili tupate amani ya roho.

Nyumba yenu iko mita 15 au mita 30 kutoka katikati ya reli?
 
Hio ndio Sharia kweli. Na wananchi walio bomomolewa wameshaenda mahakamani kwa hiyo kwakuwa Suala Lipo mahakamani ngoja tusubilie maamuzi ya mahakamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MITA 30(MAIN LINE) NI ILE RAILY INAYOKWENDA BARA NA MITA 15 NI ILE RAILY INAYOKWENDA UBUNGO AU KURASINI NA CHANG'OMBE(SIDING)ufafanuzi kwa lugha yetu
 
sisi tunataka standard gauge railway so ameni hv ujenzi unaendeleaje manana last month walikuwa kwenye mobilization
 

Watawavunjia , wao wanapima mita 30 kutoka katikati ya reli kwenda kulia na kushoto, yaani kushoto 30m na kulia 30m
 
Bado lipo na watu wanabomoa nyumba zao wenyewe
Mkuu kituko,natanguliza heshima kwako sababu ninataka uhakika ili nasi tujiandae kutoa vyombo na vitu muhimu,ndugu naomba unihabarishe ni maeneo gani watu wanaendelea kubomoa nyumba zao tafadhali.
 
Mkuu kituko,natanguliza heshima kwako sababu ninataka uhakika ili nasi tujiandae kutoa vyombo na vitu muhimu,ndugu naomba unihabarishe ni maeneo gani watu wanaendelea kubomoa nyumba zao tafadhali.
Hamisha tu takataka zako haina kusamehewa hiyo
 
Mkuu upo mtaa wa kilwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…