MSAADA: BLACKBERRY VS.ipHONE VS. HTC | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MSAADA: BLACKBERRY VS.ipHONE VS. HTC

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by donlucchese, Jul 16, 2011.

 1. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,303
  Likes Received: 3,448
  Trophy Points: 280
  niaje wakuu? salaam sana popote mlipo. swali langu ni dogo tu,nahitaji kununua simu moja kati ya hizo kwaio nahitaji kufahamu ipi ni the best interms of internet capabilities,applications etc. Halafu je,simu yenyewe inaweza ikainfluence internet speed? Shukran za dhati wakuu!
   
 2. DMussa

  DMussa JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2011
  Joined: Sep 24, 2007
  Messages: 1,301
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  tembelea hii link unaweza kupata idea na specs za simu zote hizo

  Compare phones - GSMArena.com
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,280
  Likes Received: 19,431
  Trophy Points: 280
  simu gani kati ya hizo inabamba hapo kwetu bongo?
   
 4. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,303
  Likes Received: 3,448
  Trophy Points: 280
  kwa kweli wengi wanapenda blackberry ila naona kila m2 na interest zake
   
 5. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #5
  Jul 16, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
  Ungeweka iPhone Vs. Blackberry Vs. Android Vs. Windows Phone, kwasababu HTC Windows mobile, HTC Android, HTC Windows Mobile ziko tofauti kabisa.

  Personally ningeshauri iPhone au Android, BB wamepitwa na wakati na sio user friendly, apps chache na expensive, browser sio nzuri, hakuna sababu ya kununua BB unless mnalazimishwa kazini.
  Simu inaweza kuinfluence speed lakini hawa wanafanana wote ni 3G kasoro Android ambao wanazo za 4G, ila bongo hakuna 4G so hakuna tofauti kubwa.

  iPhone (4) kama sio mtundu wa technolojia, maana iko basic lakini very fast and stable, Android kama unapenda kucustomize vitu.
  Pia Android ina App za bure nyingi zaidi, kama utatumia App halali tu.

  Android ina more value for money.

  Mwisho simu za Android zinatofautiana sana katika ubora so lazima uchunguze kwanza.
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Jul 16, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,280
  Likes Received: 19,431
  Trophy Points: 280
  mkuuu kama vile upo kwenye kichwa changu
   
 7. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #7
  Jul 16, 2011
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,235
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  kwa Internet capabilities nadhani latest models za kila Brand karibu zinalingana uwezo, nigependekeza uchukue Iphone...
   
 8. Osaba

  Osaba JF-Expert Member

  #8
  Jul 16, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 1,718
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Iphone ni mpango mzima utaenjoy kuanzia kwenye net hadi entertainment zingine na ipo stabble sana.
   
 9. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #9
  Jul 17, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,303
  Likes Received: 3,448
  Trophy Points: 280
  ivi,kwa hapa bongo ku jailbreak(chakachua)iphone inawezekana ili usilimitiwe kudownload only from applestore///?
   
 10. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #10
  Jul 17, 2011
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,235
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  KuJailbreak inawezekana sana tu mkuu, na unaDownload application yoyote ya Iphone bure.....
   
 11. Mzuzu

  Mzuzu JF-Expert Member

  #11
  Jul 17, 2011
  Joined: Jul 11, 2007
  Messages: 487
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Mkuu nani anafanya hivyo hapa bongo? Nimejaribu Sapna wameshindwa iphone 4 nahitaji urgently ku-unlock yangu
   
 12. Ole

  Ole JF-Expert Member

  #12
  Jul 17, 2011
  Joined: Dec 16, 2006
  Messages: 751
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Google utapata jibu maridhawa.
   
 13. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #13
  Jul 17, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 736
  Trophy Points: 280
  jailbreaking inawezekana mkuu...hata wewe mwenyewe waweza fanya.
   
 14. Bushloiaz

  Bushloiaz JF-Expert Member

  #14
  Jul 17, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 482
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Sangara mambo vipi mkuu,naomba kama inawezekana utuwekee hapa jamvini namna ya jailbreak iphone
   
 15. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #15
  Jul 17, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Kama uko makini na kusikiliza na kusoma na kuzielewa detail soma link hizi
  Jailbreak 4.3.3 Untethered iPhone 4, 3GS, iPad, iPod touch Using Redsn0w [Tutorial] | Redmond Pie - ia kuna video ya youtube

  Kuna video nyingine hii


  Cha kufanya.

  1. Tambua Vesrsion ya IOS yako
  2. google au youtube "jailbreak iphone " kulingana na version . Mifano ni hizo link na video nilizoweka
  3. Soma review za wachangiaji walijaribu mbinu hizo ujue urahisi na ugumu
  4. Fuata maelekezo ya watalamu kwa article uliyona ni rahisi
  NB
  1. Muhimu kuchukua backup ili mambo yakigoma
  2. ukisha jail break usifanye update ya IOS
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 16. donlucchese

  donlucchese JF-Expert Member

  #16
  Jul 17, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 9,303
  Likes Received: 3,448
  Trophy Points: 280
  wapi wanafanya mkuu?
   
 17. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #17
  Jul 17, 2011
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,235
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  mkuu mbona kila mtu nnaemfahamu mimi mwenye Iphone anawezafanya hivyo, sio ishu sana ngoja nipost namna ya kujailbreak hapa..
   
 18. Brakelyn

  Brakelyn JF-Expert Member

  #18
  Jul 17, 2011
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,235
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  mkuu kwenda Sapna kuUnlock/kuJailbreak inaweza kukugharimu 50-80Thousand za bure wakati mambo yote unawezafanya mwenyewe nyumbani..

  kwanza kabisa ukitaka kuEnjoy free cracked applications za Iphone lazima either uJailbreak simu yako au Uiwezeshe kuInstal cracked applications kwa kutumia system application inayoitwa 'Appsync' inayopatikana kwenye cydia...

  1. Installing Appsync from Cydia
  2. Jailbreaking through snowbreeze 2.7.1...  (i) kuongeza Appsync kwenye non-jailbroken Iphone.

  kwanza kabisa unatakiwa kufahamu firmware version ya Iphone yako na Boot Room state kama ni new Boot Room au Old Boot Room..fungua settings, general, about...!


  a.jpg

  baada ya hapo, utahitataji kudownload latest firmware ya Iphone yako,,kama unatumia 3G basi firmware 4.2.1, 3GS firmware 4.3.4, iphone 4 firmware 4.3.4...kwa IOS 5 hii njia haitoApply'..ukishaDownload hiyo firmware kitu utakahohitaji ni program ya computer inayoitwa redsn0w win 0.9.6rc16 ni kama 13 Megabites inapatikana Google!!
  ukishadownload redsnow, ifungue then fuatilia maelekezo vizuri jinsi program itakavyokuelekeza..nashindwa kuandika step zote hapa kwasababu maneno ni mengi'...

  View attachment 34012

  redsnow ina maelekezo yote kwenye process nzima ya kuweka Cydia..


  (ii) KuJailbreak.

  nayo utahitaji kudownload viambatanisho vilivyowekwa hapo chini kwenye maelezo..ukishindwa kitu uliza humu ndani usaidiwe...  JailBreaking IOS 4.3.3


  The supported device are

  • iPhone 3GS, iPhone 4
  • iPad 1
  • iPod Touch 3, iPod Touch 4.
  • Apple TV 2G
  Step 1: Download the iOS 4.3.3 firmware for your respective iOS device
  Step 2: Download Sn0wbreeze 2.7 from here
  Update: We recommend you download Snowbreeze 2.7.1, which fixes iPhone silent/mute button issue
  Step 3: Now open Snowbreeze 2.7 which you had downloaded earlier and click on the arrow icon.
  [​IMG]
  Step 4: Now click Browse and locate the downloaded IPSW file for the corresponding iOS device and click next.
  [​IMG]
  Step 5: Now you can see a message on the window saying 4.3.3 IPSW verified. If your using an iPhone 3GS, you are promoted with a window which ask you to select older or new baseband. If you don't know which of these two, click on "Detect it for me" to let the software detect your baseband version.
  [​IMG]
  Step 6: After this, you will be asked to select a mode.
  iPod Touch user will get this
  [​IMG]
  iPhone user will get this
  [​IMG]
  Now choose "Expert Mode" and select Build IPSW click next. If you rely on an unlock, go to Unlocks settings and make sure that Activate The iPhone [Hacktivate] is selected and then click Build IPSW
  [​IMG]
  Step 7: Now Sn0wbreeze will start building custom IPSW file for your iOS device. It may take some time, so be patient will it finish
  [​IMG]
  Step 8: Sn0wbreeze has successfully created custom IPSW and it is saved on your desktop. Now click "OK".
  [​IMG]
  Step 9: At this point you need to put your iOS device into DFU mode. To do so follow the on screen instructions
  • Turn OFF your iOS device
  • Press and hold Home + Power button for 10 seconds
  • Now release the Power button and hold Home for 30 sec.
  Step 10: Now iREB will run to put your iOS device in Recovery mode. Please make sure that your iOS device is kept connected to your PC
  Step 11: Open iTunes, click on your iOS device name and press Shift + Restore button on the iTunes.
  [​IMG]
  Step 12: Following the previous step will prompt you a window, now locate the custom firmware build using the Snowbreeze saved on the desktop.
  [​IMG]
  Step 13. Now the iOS device gets restarts and enjoy the jailbreak.  Baada ya kuJailbreak utahitaji kuUnlock ili utumie line za mitandao yote ya simu.


  baada ya kuwa na Cydia kwenye menu ya simu yako kama inavyoonyesha hapo --> bull.jpg ,
  utafuata hizi steps ili kuUnlock..  1. uwe kwenye wireless internet connection yenye speed ya kutosha na uUnganishe simu yako,
  2. weka line ndani ya simu,
  3. fuatilizia maelezo ya hapo chini..


  Step 1: Open Cydia on your iPhone 4 or 3GS, Go to Manage->Sources

  [​IMG]
  Step 2: Now tap on "Edit", then tap on "Add"
  Enter the following repo http://repo666.ultrasn0w.com then tap on "Add Source" as shown below.
  [​IMG]


  Step 3: Now search for ultrasn0w 1.2.3 then install it. By installing ultrasn0w 1.2.3, your device became unlocked
  [​IMG]


  Step 4: Finally, restart your iPhone and you should now enjoy an unlocked iPhone 4 or 3GS on iOS 4.3.3.
   
 19. Mzuzu

  Mzuzu JF-Expert Member

  #19
  Jul 17, 2011
  Joined: Jul 11, 2007
  Messages: 487
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Mambo ya tech mkuu nipe maelekezo basi nione kama naweza, nisije kuuharibu
   
 20. Millah

  Millah JF-Expert Member

  #20
  Jul 17, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Labda nichangie machache kati ya mengi kwenye uzi huu. kwanza kabisa suali la msingi ni simu gani kati ya HTC, iPhone na BB. Suali lako linachanganya kwa sababu zifuatazo;

  • Balckberry na iPhone si simu ambazo zenye we ni plartform moja (yaani zina OS zake iOS kwa iPhone na Blackberry OS kwa BB)

  • HTC hawana plartfom maalum wao wanacheza kwenye Wwindows Phone 7 na Android kwa sasa na wanafanya customisation ya hali ya juu na hasa kwenye Android (kwenye WP7 wamefungua hub yao tu)

  Labda swali lako lingekuwa kwa mfano kati ya iPhone 4, HTC Sensation au HTC Evo 3D na Blackberry Torch 9800 ni ipi bora basi jibu lingekuwa rahisi kidogo.

  Wengi ambao hujibu maswali kama haya huwa wanapendelea simu wanayoitumia badala ya kueleza ubora na udhaifu wa simu hizi.

  Sasa mkuu hapa kwa maoni yangu ni kwamba simu ipi ya kutumia inategemea matumizi yako, rika unalotoka na shughuli unazofanya. Kwa hiyo wapo ambao kwao BB ndio maisha, na wako ambao iphone haina mpinzani na wako ambao HTC ni kiboko.

  Kwa maoni yangu ukiwa ni mtu ambaye una marafiki wengi wenye BB na BB Mesenger unadhani kuwa ni kitu kitakachokuvutia basi Blackberry ni simu ambayo inakufaa. Lakini naomba nikutahadharishe kwamba BB si simu zenye specs za hali ya juu kama top end HTCs au iPhone 4.

  Ukiwa ni mtu mwenye kutaka kutumia simu kama kufanya kila linalowezekana kufanywa kwenye simu na hutasubiri kuchakachua upate apps za bure basi iPhone 4 ndio simu inayokufaa. Appstore ina apps 425,000 kuanzia watu wa dini hadi watu dhambi unachotaka ambacho kinawezekana kuwa kwenye simu basi utapata.

  Tahadhari kubwa ninayoweza kukupa kwenye iPhone ni kwamba "mbio za kufukuzana za paka na panya" kwenye platform hii. Kitu ambacho kimezungumziwa kwa details kwenye uzi huu, Jailbreaking. Jambo moja ambalo hukuambiwa ni kwamba kila unapojailbreak Apple wakitoa update basi inabidi ujailbreak tena, si jambo ambalo utafanya mara moja halafu basi kama ambavyo simu nyingine uki-unlock mara moja yamekwisha. Pia wakati mara nyingi kunakuwa na gap ya muda baina ya update ya Apple na Jailbreak ya hackers. kwa hiyo inabidi ukubali kuwa nyuma mpaka hackers watakapo-release njia mpya ya kujailbreak firmware mpya.

  Ni kitu ambacho kwa wengine ni headache na kwa wengine ni ku-enjoy maisha kwa hiyo inategemea wewe ni mtu wa aina gani. Mbali ya Apps iPhone ni simu ambayo ina simple User interface unahitaji siku kadhaa tu kuwa bingwa wa kitumia. Kama utaamua iPhone ningekushauri ununue Factory unlocked, kuuliza kwako suala hili ndiko kunanifanya nikupe ushauri huu.

  HTC hapa kidogo pana kazi kwani HTC ziko nyingi mno na zinatofautiana sana. Sijui wewe mkono wako unaweza kufika wapi katika masuala ya bei lakini kama utaweza kupata Evo 3D au Sensation, ni simu ambazo ziko poa, otherwise HTC yoyote ambayo ina-run Android 2.3 Gingerbread kwenda mbele. Froyo au 2.1 kidogo zinaanza kuwa nyuma ya wakati na upuuzi wa Android ziko too customised kwa hiyo sio kwamba Google wakitoa update basi inafaa kwa simu zote la.

  Android ni second best kwa apps na unaweza sana ku-customise simu yako na hasa kama ni mpenzi wa widgets. Matatizo ya widgets ni battery hungry kwa hiyo pia uwe makini ingawa unaweza ku-tweak settings kupunguza matumizi ya battery lakini pia maana yake ni kwamba hizo widgets zenyewe zitakuwa hazina maana sana.

  Kwa upande wa HTC za Windows Phone 7 ni kama vile HTC Mozart na HTC HD7 ni simu nzuri kiasi lakini WP7 ni information based rather than apps based. yaani wao wanatumia utaratibu wa hubs badala ya apps katika utendaji kazi wa simu yako ni utaratibu mzuri kiasi na una tofauti. Tayari kuna update ya WP7 ambayo inaitwa Mango itakuwa na 500 more functionalities, kwa kiasi fulani ni simu ambayo unaweza kufurahishwa nayo na hasa ukiwa bado hujatumia iPhone au Android, kwa vile ukizoea apps inakuwa shida kuhamia kwenye utaratibu mwingine. Maoni yangu binafsi simu kumi bora kabisa kwa sasa ni:-

  1. Samsung Galaxy S2
  2. iPhone 4
  3. HTC Evo 3D
  4. LG Optimus 3D
  5. HTC Sensation
  6. Blackberry Bold 9900 (iko njiani bado haijatoka)
  7. Sony Ericsson Xperia Arc
  8. Motorola Atrix (Ikiwa na laptop dock yake)
  9. Google Nexus S
  10. HTC Desire HD

  Bahati mbaya hakuna Windows phone 7 hata moja ambayo naona inastahiki kuingia kwenye kumi bora. Naomba nikutahadharishe kuwa 10 bora ni maoni binafsi mwingine anaweza kuwa na 10 bora tofauti kabisa na hizi.
   
Loading...